?>

Posted:02-01-2025

TAZAMA FUNGA MWAKA NA YESU ILIVYOTIKISA


Tumekusogezea picha za matukio ya Tamasha kubwa la Funga Mwaka na Yesu 2024 lililoandaliwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini na kufanyika katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Moshi. Waimbaji wa nyimbo za Injili Rose Muhando na Boaz Danken walihudumu katika tamasha hilo kubwa lililo kutanisha vijana zaidi ya elfu tisa (9,000) ambapo wapo waliompa Bwana Maisha yao kwa kuamua kuokoka. Kilimanjaro revival radio ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa Tamasha hilo.

Kilimanjaro Revival FM